#Glm News| Willy Paul @willypaulbongo Msanii wa Gospel kutoka Kenya Penzini na Msanii kutoka Jamaica Alaine

Willy Paul msanii mwenye jina kubwa Kenya na ameshafanya kazi kubwa hivi karibuni kwa kile kisichojulikana ni nini kinaendelea alipost kwenye ukurasa wake wa Twitter ‘LOVE’

#ido #makeupbyChar @char_jcanangel

A post shared by Alaine (@alainesinga) on

Hatukujua alikuwa akimaanisha nini na hivi karibuni picha zake akiwa na msanii mkubwa kutoka Jamaica Alaine kwa kile kisemwacho ni harusi na kuzua utata mkubwa kwenye mitandao ya kijamii haswa kwa Mashabiki wa Willy Paul na Alain wakijiuliza je ni Harusi au kuna Project wanafanya pamoja.