#Glm News| Amka Ukitike Best Dance Hall 2016 – 2017 ni 2GB Diva kutoka Kenya

Mwanadada anayekuja kwa kasi haswa kwenye muziki wa East Africa na kuhit na nyimbo nyingi sasa ameibuka mshindi wa tuzo za Amka Uktike kama Dance Hall 2016 – 2017 tukamvutia simu kujua anachukuliaje ushindi huo kama msanii anaechupukia ” Kwanza namshukuru sana Mungu na Familia yangu kwa support yako kubwa kwangu hadi kuwa mshindi kwani wasanii ni wengi na wanajua kabisa ila kuibuka mshindi ni moja ya hatua kubwa sana kwangu na imenijenga sana kwani naamini kabisa nitafika mbali sana kwani ni moja ya hatua kubwa sana pia napenda sana kuwashukuru fans wangu wote kwa love na support yao kubwa kwangu Mungu azidi kuwabariki sana. Hadi sasa mwanadada huyo anatarajia kuachia Audio na Video soon.