#Glm Movies|LUCY KOMBA ARUDI SHULE

STAA wa filamu za Kibongo ambaye makazi yake kwa sasa ni nchini Denmark, Lucy Komba amefunguka kuwa ameamua kurudi shule ili kupata utaalamu zaidi wa masuala ya filamu. Akizungumza na…

#Glm_movies|KAJALA ALIA MWISHO WA MWAKA!

MKALI wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘Kay’ amefunguka kuwa, anaona mwaka ndiyo unaisha, lakini bado hajatimiza malengo yake aliyojipangia, jambo ambalo linamuumiza kichwa. Kajala aliiambia Over Ze Weekend kuwa, mwaka huu haukuwa mzuri kwani…