#Glm News| WEMA SEPETU AMSIFU ALIKIBA

Wema Sepetu almaharufu kama tanzanian sweethrt au madam star wa bongo movie amemsifu Alikiba kwenye ukurasa wa instagram kwa ku coment kwenye picha ya alikiba. Wema amecoment kwa kuandika “dah…