#Glm Movies|LUCY KOMBA ARUDI SHULE

STAA wa filamu za Kibongo ambaye makazi yake kwa sasa ni nchini Denmark, Lucy Komba amefunguka kuwa ameamua kurudi shule ili kupata utaalamu zaidi wa masuala ya filamu. Akizungumza na…